BREAKING: Philip Mpango apendekezwa kuwa Makamu wa Rais

BREAKING: Philip Mpango apendekezwa kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan tayari amependekeza jina la Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais na sasa jina hilo limeshakabidhiwa kwa Spika wa Bunge na Mpambe wa Rais.

Post a Comment

Previous Post Next Post