Rayvanny Aondoka Rasmi Wasafi - WCB Label
Msanii Wa Bongo fleva Rayvanny Leo ameagana Rasmi na label ya Wasafi ambayo alikua kwa miaka sita pia kashare video kwenye ukurasa wake Wa Instagram kwa kutoa shukrani kwa wcb kwa kuwa nae kwa miaka yote sita
TAZAMA VIDEO HII HAPA BOFYA HAPA
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼